Ruto azindua awamu ya pili ya Hustler Fund

Wakenya sasa watafurahia aina tofauti za pesa za Hustler huku Rais Willaim Ruto Alhamisi akizindua awamu ya pili. Mkopo wa kikundi cha Hustler ulizinduliwa wakati wa sherehe za 60 za Madaraka Dei. “Nina furaha kutangaza kwamba wakati wa sherehe za…

Kenya na Urusi Kuimarisha Mahusiano ya Biashara

Mkuu wa Nchi alizungumza Jumatatu katika Ikulu ya Nairobi, alipomkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov. Kenya itaimarisha uhusiano wake na Urusi ili kuongeza kiwango cha biashara. Rais William Ruto alisema biashara kati ya nchi hizo mbili…

Sakaja atia mkataba wa maendeleo na Afrika Kusini

•Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ametia sahihi  mkataba wa maendeleo na Hill-Lewis ambaye ni meya wa Cape Town  Afrika Kusini Jumanne 23. •Sakaja, ambaye kauli yake wakati wa kampeni ilikuwa  “wacha tufaifanye  Nairobi ifanye kazi”,amekuwa akiendeleza kauli hiyo hasa kwa …

Uganda’s President Signs Anti-Gay Bill Into Law

Ugandan President Yoweri Museveni on Monday signed into law a controversial anti-gay bill, his office and the country’s parliament said, introducing draconian measures against homosexuality that have been described as among the world’s harshest. Museveni “has assented to the Anti-Homosexuality…