Category BUSINESS

Kenya na Urusi Kuimarisha Mahusiano ya Biashara

Mkuu wa Nchi alizungumza Jumatatu katika Ikulu ya Nairobi, alipomkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov. Kenya itaimarisha uhusiano wake na Urusi ili kuongeza kiwango cha biashara. Rais William Ruto alisema biashara kati ya nchi hizo mbili…