Address
304 North Cardinal St.
Dorchester Center, MA 02124
Work Hours
Monday to Friday: 7AM - 7PM
Weekend: 10AM - 5PM
Address
304 North Cardinal St.
Dorchester Center, MA 02124
Work Hours
Monday to Friday: 7AM - 7PM
Weekend: 10AM - 5PM
Wakenya sasa watafurahia aina tofauti za pesa za Hustler huku Rais Willaim Ruto Alhamisi akizindua awamu ya pili. Mkopo wa kikundi cha Hustler ulizinduliwa wakati wa sherehe za 60 za Madaraka Dei. “Nina furaha kutangaza kwamba wakati wa sherehe za…
•Maafisa wa polisi wangali wanapata maiti zilizotapakaa msituni baada ya zoezi la uchimbaji kusimamishwa ili kupisha uchunguzi wa maiti. •”Hatukuweza kubaini sababu za vifo vya miili 20 lakini miili kumi na miwili ilikuwa na dalili za njaa,” Oduor alisema. Mwili…
•Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ametia sahihi mkataba wa maendeleo na Hill-Lewis ambaye ni meya wa Cape Town Afrika Kusini Jumanne 23. •Sakaja, ambaye kauli yake wakati wa kampeni ilikuwa “wacha tufaifanye Nairobi ifanye kazi”,amekuwa akiendeleza kauli hiyo hasa kwa …
• Mbunge huyo hakufurahishwa na mapendekezo ya hivi majuzi katika mswada wa fedha unliowasilishwa bungeni. • “Mimi mshahara wangu wote nimechukua mikopo utakata nini napata sifuri tu au unataka kuchukua mali yangu?” alilalamika. Mbunge wa Mumias Mashariki Peter Salasya amemkosoa…
Shirika la Reli la Kenya (KRC) limesitisha safari za huduma ya Reli ya Meter Gauge (MGR) kwa treni zinazofanya kazi kati ya Nakuru na Kisumu. Katika taarifa siku ya Alhamisi, KRC ilisema kuwa kusimamishwa kazi kumetekelezwa kutokana na mvua kubwa…