Tag HUSTLER FUND

Ruto azindua awamu ya pili ya Hustler Fund

Wakenya sasa watafurahia aina tofauti za pesa za Hustler huku Rais Willaim Ruto Alhamisi akizindua awamu ya pili. Mkopo wa kikundi cha Hustler ulizinduliwa wakati wa sherehe za 60 za Madaraka Dei. “Nina furaha kutangaza kwamba wakati wa sherehe za…